Matokeo ya darasa la saba 2025/2026 Results today time, Matokeo ya NECTA Darasa La Saba 2025/2026, Matokeo ya Darasa la Saba 2025 NECTA | PSLE Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Profesa Said A. Mohamed, ametangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NECTA, jumla ya watahiniwa 1,146,164 walifanya mtihani huo nchini kote, ambapo watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 wamefaulu na kupata sifa ya kujiunga na elimu ya sekondari kidato cha kwanza mwaka 2026.
Matokeo ya darasa la saba 2025/2026 Results today time
CHECK ALSO:






Weka maoni yako