Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?, Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025. Baraza la Mitihani Tanzania Latangaza Rasmi Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2025

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), katika mkutano wake wa 156 uliofanyika Novemba 22, 2025, jijini Dar es Salaam, lilitangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi wa mwaka 2023. Tangazo hilo linafafanua usajili, mahudhurio na utendakazi wa watahiniwa kote nchini.

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?

Jumla ya watahiniwa 1,397,293 walisajiliwa kufanya mtihani huo. Kati yao, wasichana walikuwa 742,690 (53.15%) na wavulana 654,603 (46.85%). Watahiniwa wenye mahitaji maalum walikuwa 4,599, sawa na asilimia 0.33 ya wote waliosajiliwa.

Kati ya watahiniwa wote waliosajiliwa, 1,356,392 (97.07%) walifanya mtihani huo. Kati yao, wasichana walikuwa 726,078 (97.76%) na wavulana 630,314 (96.29%).
Aidha, watahiniwa 40,901 (2.93%) hawakufanya mtihani, ambapo wavulana walikuwa 24,289 (3.71%) na wasichana 16,612 (2.24%).

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?
Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?

Baraza la Mitihani la Tanzania limeeleza kuwa matokeo haya yanaonyesha mwelekeo chanya wa ufaulu, licha ya changamoto za kielimu zinazojitokeza kila mwaka. Wazazi, walimu, na wadau wa elimu wanahimizwa kuendelea kushirikiana katika kuboresha mazingira ya kujifunzia ili kuongeza zaidi kiwango cha ufaulu katika miaka ijayo.

CHECK ALSO: