MATOKEO ya Fountain Gate vs Tanzania Prisons Leo 26/06/2025: matokeo mchezo wa play off mtoano wa Fountain Gate dhidi ya Tanzania Prisons, Nani Kusalia Ligi KUU.
Msimu wa ligi kuu ya NBC Tanzania wa 2024/2025 unaelekea ukingoni, na hatima ya baadhi ya timu kuamuliwa katika hatua ya mtoano. Mechi muhimu katika awamu hii ni pamoja na Fountain Gate FC dhidi ya Tanzania Prisons FC, katika mpambano wa mikondo miwili ya kubaini nani abaki Ligi Kuu na nani atafuzu hatua ya mwisho ya mchujo.
Katika msimamo wa mwisho wa NBC Premier League msimu huu: Tanzania Prisons ilimaliza katika nafasi ya 13. Fountain Gate ilimaliza katika nafasi ya 14.
Tofauti ya alama kati ya timu hizi ilikuwa alama 2 pekee, hali inayoonesha ushindani mkubwa kati yao na umuhimu wa mtoano huu kwa pande zote mbili.
MATOKEO ya Fountain Gate vs Tanzania Prisons Leo 26/06/2025

LIVE | Fountain Gate  0-0  Tanzania Prisons
Mshindi wa mechi zote mbili atapanda moja kwa moja hadi Ligi Kuu ya NBC msimu ujao (2025/2026). Timu itakayoshindwa kwa jumla ya mabao haitashushwa daraja moja kwa moja, bali itajihakikishia nafasi ya pili kwa kucheza hatua nyingine ya mchujo dhidi ya timu inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, Stan United FC.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako