Matokeo ya Fountain Gate vs Yanga Leo 21/04/2025 | Fountain Gate vs Yanga SC Aprili 21, 2025 | Mechi ya Ligi Kuu ya NBC, Saa 10:00 Jioni.
Fountain Gate Princess itamenyana na bingwa mtetezi, Young Africans Sport Club (Yanga SC), katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaochezwa Aprili 21, 2025, kuanzia saa 1:00 Usiku UTC (16:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT).
Takwimu za Msimu: Timu hizi zimekutana mara moja msimu huu, huku Yanga SC wakionekana kuwa na ubora zaidi. Kwa sasa Yanga SC inaendelea kuongoza msimamo wa ligi ikiwa na pointi za kutosha, huku Fountain Gate ikipambana kubaki kwenye nafasi za kati/Matokeo ya Fountain Gate vs Yanga Leo 21/04/2025.
Matarajio ya Mechi: Yanga SC itaingia kwenye mchezo huu ikilenga kuendeleza ubabe na kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi. Walakini, Fountain Gate watakuwa na hamu ya kuongeza faida yao ya nyumbani kutafuta alama muhimu dhidi ya wapinzani wao hao.
Matokeo ya Fountain Gate vs Yanga Leo 21/04/2025

FT | Fountain Gate  0:4   Yanga
- FT| Mchezo umetamatika kwa Yanga kuondoka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Fountain Gates
- 89′ Chama Jr anaweka chuma ya nne kwa mkwaju wa freekick
- 69′ Mzize anaweka Goli lake la pili kwenye mchezo wa leo na latatu kwa Yanga, Pasi kutoka kwa Ikanga Lombo
- 43′ Azizi Ki anafunga Goli la pili wa Yanga, Baada ya makosa ya golikipa wa Fountain Gate
- 35′ Mzize anawapa Yanga Goli la utangulizi
Tahadhari mashabiki na wadau wa soka: Kwa mechi hii kushirikisha timu mbili zenye malengo tofauti, dalili zote zinaonyesha kutakuwa na mchuano mkali. Mashabiki wanahimizwa kufuatilia mechi hiyo kwa karibu ili kushuhudia matokeo ya mojawapo ya mechi muhimu zaidi kwenye kalenda ya ligi.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako