Matokeo ya Kagera Sugar vs Azam Leo 19/04/2025 | Azam FC inamenyana na Kagera Sugar FC Leo katika Mechi Mgumu – Ligi Kuu ya NBC 2024/25.
Azam FC leo itashuka dimbani kuvaana na Kagera Sugar FC katika mchezo muhimu wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2024/25. Mchezo huu utapigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, na kila timu itakuwa na sababu kuu ya kusaka ushindi.
Azam FC itaingia kwenye mchezo huu ikihaha kutetea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, baada ya wapinzani wao wa karibu, Singida Black Stars, kupata ushindi leo na kupata pointi zinazowasogeza karibu na nafasi hiyo. Azam FC inahitaji ushindi ili kubaki miongoni mwa timu tatu za juu, jambo ambalo ni muhimu ili kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao.
Matokeo ya Kagera Sugar vs Azam Leo 19/04/2025
LIVEÂ |Â KAGERA SUGARÂ Â Â 0 : 0Â Â Â AZAM FC
- kick-offs 19:00
KIKOSI CHA AZAM LEO

Kwa upande mwingine, Kagera Sugar FC inapigania kujinasua kwenye Ligi Kuu. Timu hiyo ipo kwenye mazingira magumu kwenye msimamo wa ligi, hivyo kupata matokeo mazuri dhidi ya Azam FC ni muhimu ili kuendeleza matumaini ya kukwepa kushuka daraja. Kwa hiyo, mechi hii itakuwa na ushindani mkubwa, na kutakuwa na shinikizo kwa pande zote mbili.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako