MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025

MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025: KenGold vs Azam FC: Vita ya kusaka pointi kwenye Mechi ya 24 ya Ligi Kuu ya NBC Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Alhamisi kwa mechi tatu huku mtanange kati ya KenGold na Azam FC ukielekea kuvutia mashabiki wengi zaidi. KenGold inayoshika nafasi ya mwisho kwenye msimamo ikiwa na pointi 16, itakuwa mwenyeji wa Azam FC kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya saa 10:00 jioni.

KenGold inapambana kuepuka kushushwa daraja KenGold iko chini ya shinikizo kubwa kushinda ili kujiweka kileleni mwa msimamo wa ligi. Timu hiyo imekuwa na mabadiliko makubwa tangu kipindi kifupi cha uhamisho wa wachezaji, ikiwa ni pamoja na kuongeza nyota wenye uzoefu kama vile Kelvin Yondani, Obrey Chirwa na Zawadi Mauya. Katika mechi tano zilizopita, wametoka sare nne na kushinda moja, hali inayoashiria kubadilika kwa kiwango chao cha uchezaji.

Hata hivyo, KenGold anakumbuka machungu ya kipigo cha 4-1 dhidi ya Azam FC katika mechi ya ufunguzi. Sasa wanacheza nyumbani na watatafuta kulipiza kisasi, wakitaka kupata pointi tatu muhimu. Azam FC inataka kuendeleza rekodi yake nzuri Azam FC ipo katika nafasi ya tatu ya ligi ikiwa na pointi 48. Ushindi wa leo hautawapandisha daraja, bali utawapa imani zaidi ya kukaa nafasi ya tatu, nyuma ya Yanga SC (pointi 58) na Simba SC (pointi 57).

MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025

LIVE | KENGOLD     0-0     AZAM

MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025
MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025

Azam FC inajivunia safu kali ya ushambuliaji, ikiwa imefunga mabao 32 msimu huu, ikizidiwa na Simba (52) na Yanga (58). Zaidi ya hayo, rekodi yao ya ugenini ni nzuri, wakiwa wameshinda mara 5, sare 4, na kupoteza mara 2 katika mechi 11 za ugenini msimu huu.

Nani ataibuka mshindi?

KenGold inahitaji ushindi ili kuepuka kushuka daraja, huku Azam FC ikihitaji pointi tatu ili kujikita katika nafasi ya tatu. Je, KenGold watalipiza kisasi na kupata ushindi muhimu, au Azam FC itaendeleza rekodi yao bora? MATOKEO ya Kengold vs Azam Leo 03/04/2025

Mashabiki wa soka wanatarajia mechi kali leo usiku. Usikose matokeo ya moja kwa moja kwenye Azam Sports 1 HD.

CHECK ALSO: