Matokeo ya NECTA Darasa la Nne 2025

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne 2025, Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi katika mtihani wa kumaliza kidato cha nne kuanzia kesho, Novemba 17, 2025 ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022.

Dar es Salaam. Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.

Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi kesho kwenye mtihani ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 ambao ni 907,802.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne 2025

ARUSHA

DAR ES SALAAM

DODOMA

GEITA

IRINGA

KAGERA

KATAVI

KIGOMA

KILIMANJARO

LINDI

MANYARA

MARA

MBEYA

MOROGORO

MTWARA

MWANZA

NJOMBE

PWANI

RUKWA

RUVUMA

SHINYANGA

SIMIYU

SINGIDA

SONGWE

TABORA

TANGA

CHECK ALSO:

  1. Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2026
  2. Matokeo ya Darasa la Saba na Shule Walizopangiwa 2025/2026
  3. Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025/2026
  4. Shule walizopangiwa darasa la saba 2025 TAMISEMI