MATOKEO ya Simba Leo vs Singida Black Stars 31/05/2025

MATOKEO ya Simba Leo vs Singida Black Stars 31/05/2025 | Leo Mei 31, 2025 hisia za mashabiki wa soka nchini zitaelekezwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara, ambapo Simba SC itamenyana na Singida KE katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB.

Mchezo huu wa kusisimua utaanza rasmi saa 9:30 Alasiri na kuonyeshwa moja kwa moja na AzamSports3HD, hivyo kuruhusu mashabiki wengi kufuatilia mechi hiyo muhimu kutoka sehemu mbalimbali za nchi.

MATOKEO ya Simba Leo vs Singida Black Stars 31/05/2025
MATOKEO ya Simba Leo vs Singida Black Stars 31/05/2025

MATOKEO ya Simba Leo vs Singida Black Stars 31/05/2025

FT |  SIMBA     1-3     SINGIDA BLACK STARS

  • FT: Singida Black Star wanaibuka na Ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Simba. Sasa wanatinga Fainali
  • 68′ Ahoua
  • ⚽️ 48′ Keyekeh
  • ⚽️ 34′ Keyekeh
  • 16′ Jonathan Sowah ⚽️

Mechi hii ina umuhimu mkubwa, si tu kwa kufuzu hadi fainali, bali pia kwa heshima ya klabu. Mshindi atajihakikishia nafasi ya kucheza fainali dhidi ya Yanga SC (Mwananchi), ambayo tayari imefuzu mapema wiki hii.

Katika nusu fainali hii, swali kuu linabaki: Je, Simba SC au Singida BS itaifuata Yanga SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB 2025? Majibu yote yatapatikana leo jioni katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa.

CHECK ALSO: