Matokeo ya Simba Leo vs Stellenbosch 20/04/2025

Matokeo ya Simba Leo vs Stellenbosch 20/04/2025, Kocha wa Simba SC aonya dhidi ya ulevi kabla ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25.

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids amesisitiza kuwa timu yake haitakiwi kulewa sifa au kushangilia mapema baada ya kufuzu kwa nusu fainali ya CAFCC. Badala yake, alisema waelekeze nguvu na mawazo yao yote katika mechi ya kesho dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa ratiba rasmi iliyotolewa na CAF, Simba SC itacheza mechi ya nusu fainali ya kwanza nyumbani Dar es Salaam, kabla ya kwenda Afrika Kusini kwa mkondo wa pili. Hii ni fursa ya kihistoria kwa klabu ya Tanzania kutinga fainali ya michuano hiyo muhimu barani Afrika.

Matokeo ya Simba Leo vs Stellenbosch 20/04/2025

Matokeo ya Simba Leo vs Stellenbosch 20/04/2025
Matokeo ya Simba Leo vs Stellenbosch 20/04/2025

LIVE | SIMBA     0-0     STELLENBOSCH

  • mchezo kuaza saa 10 jioni

CHECK ALSO: