Matokeo ya Singida Black Stars vs Kagera Sugar Leo 14/042025

Matokeo ya Singida Black Stars vs Kagera Sugar Leo 14/042025, Matokeo ya Michezo ya CRDB BANK federation cup leo Singida BS dhidi ya Kagera Sugar.

Katika muendelezo wa kutafuta timu zitakazofuzu kwenye nusu finali ya mashindano ya kombe la shirikisho la CRDB leo itazikutanisha timu za Singida Black Star dhidi ya Kagera Sugar Mchezo utakaopigwa uwanja wa Liti Singida. Mchezo utachezwa majira ya saa 10

Matokeo ya Singida Black Stars vs Kagera Sugar Leo 14/042025

LIVE | SINGIDA BS    2:0    KAGERA SUGAR

  • 11′ Adebayor
  • Singida BS 1-0 Kagera Sugar