Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025

Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025, Mechi ya Yanga Leo Dhidi ya Tabora United 02/04/2025 NBC: Yanga SC yataka kulipa kisasi dhidi ya Tabora United Ni mechi ya marudiano! Ndivyo tunavyoweza kuielezea mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanashuka dimbani wakiwa na lengo kuu moja: kulipiza kisasi na kupata pointi tatu muhimu katika harakati zao za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League)/Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025.

Kumbukumbu ya kichapo katika raundi ya kwanza Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Novemba 7, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam, Tabora United iliwashangaza wengi kwa kuifunga Yanga SC mabao 3-1. Matokeo haya yalikuwa ni miongoni mwa machache yaliyoitikisa Yanga msimu huu, na sasa timu hiyo inataka kumaliza deni hilo kwa ushindi mnono.

Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025

FT   | TABORA UNITED    0 – 3    YANGA SC

  • FT – TABORA 0-3 YANGA SC: Yanga inaondoka na ushindi mnono dhidi ya Tabora wa goli 3-0
  • 67′ Dube anaweka la tatu
  • 57′ Cha pili….Clement Mzize
  • HT Tabora UTD 0-1 Yanga
  • zimeongezwa dakika 4′ mechi kwenda mapunziko Yanga akiongoza 1-0
  • 21′ Israaaaaaaaah⚽️ | Goli kali kwa freekick
  • Mechi inaaza saa 10:00 jioni
Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025
Matokeo ya Tabora United vs Yanga Leo 02/04/2025

Umuhimu wa mechi hii kwa Yanga SC Kwa Yanga SC, ushindi katika mechi hii ni muhimu si tu kwa kulipiza kisasi, bali pia kuimarisha zaidi uongozi wao kwenye msimamo wa ligi. Mabingwa hao wanahitaji pointi tatu ili kukaa katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wao na kujiandaa vyema na mechi zijazo.

CHECK ALSO: