Matokeo ya UEFA Champions League Jana 25/11/2025

Matokeo ya UEFA Champions League Jana 25/11/2025 | Mashindano ya UEFA yanaendelea leo kwa michezo mikubwa inayotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wa soka duniani. Timu kadhaa zenye historia na uwezo mkubwa zinatarajiwa kushuka dimbani kuwania ushindi muhimu katika hatua mbalimbali za mashindano.

Matokeo ya UEFA Champions League Jana 25/11/2025

Hapa chini ni ratiba kamili ya mechi za leo:

20:45 – Ajax FC 0-2 SL Benfica

20:45 – Galatasaray FK 0-1 St. Gilloise

23:00 – Chelsea FC 3-0 Barcelona

23:00 – Bodo Glimt 2-3 Juventus FC

23:00 – SSC Napoli 2-0 Qarabag FK

23:00 – Sparta Prague 0-0 Athletic Club

23:00 – Borussia Dortmund 3-0 Villarreal

23:00 – Manchester City 0-2 Bayer Leverkusen

23:00 – Marseille 2-1 Newcastle United

Matokeo ya UEFA Champions League Jana 25/11/2025
Matokeo ya UEFA Champions League Jana 25/11/2025

Michezo ya Kuvutia Leo Usiku

Mechi kati ya Chelsea dhidi ya Barcelona na Manchester City dhidi ya Leverkusen zinatarajiwa kuwa kivutio kikuu kutokana na ushindani wa timu hizi katika soka la Ulaya. Pia, mkongwe Juventus atakuwa ugenini kupambana na Bodo Glimt katika mchezo ambao unaweza kuwa na matukio mengi kutokana na uimara wa timu hizo.

Mashabiki wanashauriwa kufuatilia ratiba hizi kwa wakati ili kutozikosa mechi wanazozipendelea, ikizingatiwa kuwa baadhi ya michezo inaweza kuwa na athari kubwa katika mbio za kuingia hatua zinazofuata.

You might also like:

  1. Kikosi cha Yanga Kilichosafiri Leo Dhidi ya JS Kabylie
  2. Azam Yatangaza Viingilio vya Mchezo Vs Wydad, Tiketi 10000 Kugaiwa Bure
  3. Yanga Kuivaa JS Kabylie Ijumaa 28/11/2025 Saa 1 Usiku
  4. Simba Kuivaa Stade Malien Novemba 30