Matokeo ya Usaili ATCL 2025: Waliochaguliwa Kuendelea na Usaili wa Vitendo na Mahojiano Makataba Mbali Mbali. ATCL Yatangaza Matokeo ya Usaili wa Maandishi ya Mei 3, 2025: Waombaji walioteuliwa kutangazwa kufanyiwa majaribio ya vitendo na usaili.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (ATCL) imetoa matokeo rasmi ya usaili wa maandishi uliofanyika Mei 3, 2025, Chuo Kikuu cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Matokeo hayo yalitangazwa pamoja na ratiba ya usaili wa vitendo na usaili kwa waombaji waliopata alama za juu katika kada mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, usaili kwa vitendo ulianza rasmi Mei 4-6, 2025, katika Chuo cha VETA Buza kwa nafasi ya Udereva II, huku usaili kwa kada zote utafanyika kati ya Mei 5-7, 2025, Makao Makuu ya ATCL na vyuo vya mafunzo/Matokeo ya Usaili ATCL 2025.
Matokeo ya Usaili ATCL 2025

Ratiba ya Usaili kwa Baadhi ya Kada Muhimu:
🚗 Dereva II
Vitendo: Mei 4, 5, na 6 – VETA Buza
Mahojiano: Mei 7 – ATCL House Headquarters
✈️ Flight Operations Officer
Mahojiano: Mei 5 – National College of Tourism
Vitendo: Hakuna
📅 Crew Scheduling Officer
Mahojiano: Mei 5 – National College of Tourism
Vitendo: Hakuna
📊 Sales and Marketing Officer II (TLO)
Mahojiano: Mei 5 – ATCL House (Conference Room)
Vitendo: Hakuna
🛫 Ramp Assistant II
Mahojiano: Mei 6 – National College of Tourism
Vitendo: Hakuna
MATOKEO_YA_USAILI_WA_KUANDIKA-_ATCL_FINAL
Baadhi ya Walioteuliwa kwa Mahojiano kwa Kila Kada:
📌 Flight Operations Officer (13 Waliochaguliwa):
Alama za juu: 74, 72, 68
Mfano: ATCL/0325/010/005, ATCL/0325/010/008
📌 Crew Scheduling Officer (7 Waliochaguliwa):
Alama za juu: 85, 82.5, 80
Mfano: ATCL/0325/007/021, ATCL/0325/007/004
📌 Sales and Marketing Officer II (7 Waliochaguliwa):
Alama za juu: 90, 88, 86
Mfano: ATCL/0325/009/015, ATCL/0325/009/044
📌 Sales and Marketing Assistant II (4 Waliochaguliwa):
Alama: Wote walipata 98
Mfano: ATCL/0325/011/008, ATCL/0325/011/031
📌 Ramp Assistant II (zaidi ya 60 Waliochaguliwa):
Alama nyingi zaidi: 98
Mfano: ATCL/0325/010/020, ATCL/0325/010/032
📌 Dereva II (zaidi ya 140 Waliochaguliwa kwa Vitendo):
Alama za juu: 98, 92, 88
Mfano: ATCL/0325/008/695, ATCL/0325/008/415
CHECK ALSO:
Weka maoni yako