Matokeo ya Usaili TRA 2025, Jinsi ya Kuangalia Orodha Rasmi ya Waliofaulu

Matokeo ya Usaili TRA 2025, Jinsi ya Kuangalia Orodha Rasmi ya Waliofaulu: Matokeo ya usaili wa maandishi wa TRA 2025 yatatangazwa rasmi Aprili 25.

Matokeo ya Usaili TRA 2025, Jinsi ya Kuangalia Orodha Rasmi ya Waliofaulu

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw.Moshi Jonathan Kabengwe ametangaza matokeo ya usaili wa nafasi za kazi TRA yatatangazwa rasmi tarehe 25 Aprili 2025.

Usaili huu wa maandishi ulifanyika kati ya Machi 29 na 30, 2025, na matokeo yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya TRA: www.tra.go.tz. Kabla ya kutangazwa, matokeo hayo yatakaguliwa na washauri elekezi kutoka NBAA.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili TRA 2025

Watahiniwa waliopitia usaili wanapaswa kufuata hatua hizi ili kupata matokeo yao:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya TRA: www.tra.go.tz

  2. Nenda kwenye sehemu ya “Matangazo” au “Ajira”

  3. Pakua orodha ya waliofaulu na uangalie jina lako

Matokeo ya Usaili TRA 2025, Jinsi ya Kuangalia Orodha Rasmi ya Waliofaulu

Vidokezo muhimu:

Hakikisha umetembelea tovuti rasmi ili kuepuka taarifa za kupotosha.
Orodha ya wagombeaji waliochaguliwa itachapishwa katika muundo wa PDF kwa upakuaji rahisi.
Waliopata nafasi wataalikwa katika hatua zinazofuata za mchakato wa uteuzi.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali fuata tangazo rasmi la TRA.

CHECK ALSO: