Matokeo ya Yanga Leo vs KVZ 26/04/2025: Muungano Cup 2025: Yanga SC Kukipiga na KVZ Usiku wa Leo, Zimamoto Wakiwasubiri Washindi Nusu Fainali.
Usiku wa kuamkia leo, Yanga SC kutoka Tanzania Bara itashuka dimbani kumenyana na KVZ FC ya Zanzibar katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Muungano 2025. Mechi hii inatarajiwa kuanza saa 1:15 usiku. na itachezwa katika uwanja maalum uliotengwa kwa ajili ya mashindano haya ya kihistoria.
Timu ya Zimamoto FC tayari imetinga hatua ya nusu fainali na inasubiri mshindi wa pambano hilo la kusisimua kati ya Yanga na KVZ.
Matokeo ya Yanga Leo vs KVZ 26/04/2025
YANGAΒ Β 2-0Β Β KVZ
- πππππππππππππππβ½οΈπ₯
- ππππππ ππ β½οΈππ½

Mashabiki wa soka wanatarajia mechi yenye ushindani mkali, ukizingatia historia ya Yanga katika mashindano ya mikoa, pamoja na upinzani wa timu za Zanzibar dhidi ya timu za Tanzania Bara. KVZ kwa upande wake itatumia uzoefu wake katika soka la visiwani na uwanja wake wa nyumbani kujaribu kuzima ndoto za Yanga.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako