Matokeo ya Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025

Matokeo ya Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025 | Mechi Muhimu ya Hatima ya Ubingwa NBC Premier League.

Young Africans Sport Club (Yanga SC) inatarajiwa kushuka dimbani leo Jumapili Juni 22, 2025, Saa 10:00 Jioni kumenyana na Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League).

Yanga SC inayoongoza kwa sasa kwenye msimamo, inaelekea kwenye mechi hii ikiwa na lengo kuu moja: kusaka pointi tatu muhimu ili kujiweka katika nafasi nzuri na kutetea ubingwa wao wa ligi msimu huu. Ushindi wa leo utaipa Yanga SC nafasi nzuri zaidi ya kutawazwa bingwa, kutokana na matokeo ya wapinzani wao wakuu.

Dodoma Jiji FC iliyopo nafasi ya 9 kwenye msimamo, haiko kwenye hatari ya kushuka daraja bali inahitaji matokeo mazuri ili kuweza kupanda kutoka mkiani. Kwa hivyo, licha ya kutokuwa na shinikizo la hatima msimu huu, wataingia uwanjani wakiwa wamedhamiria kumaliza msimu kwa heshima.

Matokeo ya Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025

Matokeo ya Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025
Matokeo ya Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025

FT  |  YANGA      5-0      DODOMA JIJI

  • Yanga 5️⃣ ➖ 0️⃣ Dodoma
  • Mchezo utaanza saa 10:00 jioni

Licha ya ubora wao, wanapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya timu kama Dodoma Jiji ambayo haina presha kubwa. Mechi kama hizi mara nyingi huleta matokeo yasiyotegemewa kama hazitachezwa kwa umakini.

CHECK ALSO:

  1. Simba SC vs Kagera Sugar Leo Sangapi 22/06/2025
  2. KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar 22/06/2025
  3. Matokeo ya Simba SC Leo vs Kagera Sugar 22/06/2025
  4. Twiga Stars Wabeba Kombe la CECAFA 2025 Baada ya Kuifunga Kenya 1-0