Mechi ya Al Masry vs Simba SC Leo ni Saa Ngapi?: Simba SC inaanza kampeni yake ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kwenda Misri kumenyana na Al Masry leo Jumatano. Mechi hii muhimu itachezwa saa 1:00 usiku. EST.
Simba SC yatetea heshima yake kama mgeni, Mnyama Simba SC anaingia kwenye mchezo huu akisaka matokeo mazuri ili kuweka msingi imara kabla ya mechi ya marudiano jijini Dar es Salaam. Wawakilishi hao wa Tanzania watalazimika kucheza kwa tahadhari kubwa dhidi ya Al Masry, ambao wanajulikana kwa rekodi yao kali ya nyumbani.
Mechi ya Al Masry vs Simba SC Leo ni Saa Ngapi?
Al Masry vs Simba SC, ambayo itachezwa leo Aprili 2, 2025, katika Uwanja wa Suez. Mchezo utaanza saa 19:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) sawa na 16:00 GMT.

Muda wa mchezo katika miji tofauti duniani:
Washington – 12:00 HRS
Ottawa – 12:00 HRS
Rio de Janeiro – 13:00 HRS
Abidjan – 16:00 HRS
London – 16:00 HRS
Paris – 17:00 HRS
Tunis – 17:00 HRS
Cairo – 18:00 HRS
Johannesburg – 18:00 HRS
Dar es Salaam – 19:00 HRS
Moscow – 19:00 HRS
Istanbul – 19:00 HRS
Dubai – 20:00 HRS
Beijing – 00:00 HRS
Tokyo – 01:00 HRS
Sydney – 03:00 HRS
Mchezo huu ni wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), ukiwa ni hatua muhimu kwa Simba SC katika harakati za kutafuta ushindi ugenini dhidi ya Al Masry.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako