Mechi ya Yanga Vs Tabora United Leo Saa Ngapi 07/11/2024
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania 2024/2025 leo wataendelea na kibarua cha kutetea ubingwa wao watakapoikalibisha Tabora United katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi. Mechi hii inatarajiwa kua yenye mvuto wa kipekee huku mashabiki wengi wakiitabiria Yanga ushindi mzito haswa sababu ya watemi hao kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc.
Kama wewe ni shabiki wa soka la Tanzania na ungependa kuufatilia mchezo huu, hapa tumekuletea taarifa kamili za mechi hii ikiwemo muda wa mchezo kuanza na jinsi ya kuutazama mubashara.
Taarifa Kamili Kuhusu Mechi ya Yanga Vs Tabora United Leo
- π #NBCPremierLeague
- β½οΈ Young Africans SCπTabora United
- π 07.11.2024
- π Azam Complex
- π 6:00PM
Mapendekezo ya Mhariri: Ratiba ya Mechi za Leo 07/11/2024
Weka maoni yako