Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025

Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025 | Kufuzu kwa Kundi – Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA 2025

Michuano ya FIFA Club World Cup 2025 inaendelea rasmi nchini Marekani, huku klabu 32 kutoka mabara yote zikishiriki kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hiyo. Hili ni toleo la kwanza la michuano hiyo kuchezwa katika mfumo wa makundi, huku kila kundi likiwa na timu nne, kwa jumla ya makundi manane.

Timu kutoka Ulaya, Afrika, Amerika Kusini, Amerika Kaskazini, Asia na Oceania zimeingia kwenye kinyang’anyiro hicho kwa lengo la kuwania taji hilo kubwa la vilabu duniani. Timu kama Manchester City, Bayern Munich, Al Ahly, Flamengo, Chelsea, PSG, na Mamelodi Sundowns zimeonyesha uwezo wao wa kiushindani/Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025.

Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025

GROUP A

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Al Ahly SC, Egypt Al Ahly SC 1 0 1 0 0:0 0 1
FC Porto, Portugal FC Porto 1 0 1 0 0:0 0 1
Inter Miami CF, USA Inter Miami CF 1 0 1 0 0:0 0 1
Palmeiras, Brazil Palmeiras 1 0 1 0 0:0 0 1

GROUP B

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Paris Saint-Germain, France Paris Saint-Germain 1 1 0 0 4:0 4 3
2 Botafogo - RJ, Brazil Botafogo – RJ 1 1 0 0 2:1 1 3
3 Seattle Sounders, USA Seattle Sounders 1 0 0 1 1:2 -1 0
4 Atlético Madrid, Spain Atlético Madrid 1 0 0 1 0:4 -4 0
Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025
Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025

GROUP C

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Bayern München, Germany Bayern München 1 1 0 0 10:0 10 3
2 Boca Juniors, Argentina Boca Juniors 1 0 1 0 2:2 0 1
SL Benfica, Portugal SL Benfica 1 0 1 0 2:2 0 1
4 Auckland City FC, New Zealand Auckland City FC 1 0 0 1 0:10 -10 0

GROUP D

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Chelsea FC, England Chelsea FC 1 1 0 0 2:0 2 3
Flamengo RJ, Brazil Flamengo RJ 1 1 0 0 2:0 2 3
3 Espérance de Tunis, Tunisia Espérance de Tunis 1 0 0 1 0:2 -2 0
Los Angeles FC, USA Los Angeles FC 1 0 0 1 0:2 -2 0

GROUP E

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 River Plate, Argentina River Plate 1 1 0 0 3:1 2 3
2 CF Monterrey, Mexico CF Monterrey 1 0 1 0 1:1 0 1
Inter, Italy Inter 1 0 1 0 1:1 0 1
4 Urawa Red Diamonds, Japan Urawa Red Diamonds 1 0 0 1 1:3 -2 0

GROUP F

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Mamelodi Sundowns, South Africa Mamelodi Sundowns 1 1 0 0 1:0 1 3
2 Borussia Dortmund, Germany Borussia Dortmund 1 0 1 0 0:0 0 1
Fluminense RJ, Brazil Fluminense RJ 1 0 1 0 0:0 0 1
4 Ulsan HD FC, South Korea Ulsan HD FC 1 0 0 1 0:1 -1 0

GROUP G

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 Juventus, Italy Juventus 1 1 0 0 5:0 5 3
2 Manchester City, England Manchester City 1 1 0 0 2:0 2 3
3 Wydad AC, Morocco Wydad AC 1 0 0 1 0:2 -2 0
4 Al Ain FC, UA Emirates Al Ain FC 1 0 0 1 0:5 -5 0

GROUP H

# Team M. W D L goals Dif. Pt.
1 RB Salzburg, Austria RB Salzburg 1 1 0 0 2:1 1 3
2 Al Hilal, Saudi Arabia Al Hilal 1 0 1 0 1:1 0 1
Real Madrid, Spain Real Madrid 1 0 1 0 1:1 0 1
4 CF Pachuca, Mexico CF Pachuca 1 0 0 1 1:2 -1 0

Katika hatua ya makundi, kila timu itacheza mechi tatu dhidi ya wapinzani wao wa kundi. Timu mbili za juu katika kila kundi zitatinga hatua ya 16 bora, ambapo mfumo wa mtoano utachezwa hadi fainali, itakayofanyika Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa MetLife, New Jersey.

Viwango vya vikundi vinabadilika kwa kila mechi: timu zingine hutawala tangu mwanzo, wakati zingine ziko chini ya shinikizo la kuzoea. Makala haya yanatoa muhtasari kamili wa viwango vya vikundi kulingana na matokeo ya hivi majuzi/Msimamo Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025.

CHECK ALSO:

  1. Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26
  2. Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Yasogezwa Mbele, Itachezwa 29/06/2025
  3. Je Kariakoo Derby Kuamua Bingwa NBC Ligi Kuu 2024/2025?
  4. Ratiba Mechi za Mwisho za Ligi Kuu NBC Jumapili Hii Juni 22, 2025