Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship | Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza NBC, LIGI DARAJA LA KWANZA, maarufu kwa jina la NBC Championship Tanzania, ni miongoni mwa mashindano yenye umaarufu mkubwa nchini.

Ligi hiyo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na kutoa fursa kwa timu kuonyesha vipaji vyao na kutinga hatua nyingine. Kwa msimu wa 2024/2025, ligi imepangwa kuanza Septemba 14, 2024 na kukamilika Mei 10, 2025.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza orodha ya mechi na wadau wengi wa soka wana matumaini na msimu huu kutokana na ushindani unaotarajiwa kutoka kwa timu zinazowania nafasi ya kushiriki Ligi Kuu ya NBC/Msimamo wa Championship Tanzania 2024-25 Ligi Daraja la Kwanza/Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship.

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship
Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024-25 Championship
POSTEAMPWDLGFGAGDPTS
1Mtibwa Sugar2116324093151
2Geita Gold21143438162245
3Mbeya City21127238191943
4Stand United21134433191443
5Mbeya Kwanza21115531181338
6TMA21115531201138
7Bigman2110651913636
8Songea United219752722534
9Mbuni217592628-226
10Polisi Tanzania216692028-824
11Green Warriors2162131534-1920
12Kiluvya2151151531-1616
13African Sports2142152038-1814
14Cosmopolitan2133151233-2112
15Transit Camp2125141232-2011
16Biashara United2115121633-174

CHECK ALSO: