MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 | Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025 baada ya Mechi 12

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara msimu wa 2024/2025 imeendelea kwa ushindani mkubwa baada ya Mechi 12. Timu kadhaa zimeonyesha uwezo mkubwa na baadhi kuibuka kuwania ubingwa.

Katika msimamo wa ligi baada ya Mechi 12, Simba Queens inaongoza kwa pointi 34, ikifuatiwa na JKT Queens yenye pointi 29. Nafasi ya tatu inashikwa na Yanga Princess, wenye pointi 24 baada ya mechi 12.

MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025
MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

Wakati huo huo, Mlandizi Queens wanashika nafasi ya mwisho wakiwa na pointi 1, baada ya kutoka sare mechi moja na kupoteza 11. Timu ya Gets Program nayo ipo katika hali mbaya, ikiwa na pointi 5 pekee.

MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

NOTEAMSPWDLGFGAGDPTS
1JKT QUEENS1311115193834
2SIMBA QUEENS1311114383534
3YANGA PRINCESS138322791827
4MASHUJAA QUEENS135352117418
5CEASIAA QUEENS125252026-616
6ALLIANCE GIRLS134361723-615
7FOUNTAIN GATE PRINCESS113261818011
8BUNDA QUEENS112271019-98
9GETS PROGRAM12219931-227
10MLANDIZI QUEENS130112668-621

Ligi inaendelea kuwa na ushindani mkubwa, huku Simba Queens ikiendelea kujikita kileleni kwa rekodi ya ushindi wa michezo 12 kati ya 13/Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania 2024/25.

CHECK ALSO: