Ngazi ya Mishahara TGS E Salary Scale 2025/2026, Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025/2026 TGS salary Scale | Serikali inakagua mishahara ya watumishi wa umma kuanzia Julai 2022.
Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza Sera ya Mishahara na Motisha kwa Watumishi wa Umma ya mwaka 2010, ili kuhakikisha kuwa mishahara ya watumishi inaimarishwa ili kuongeza ari na ufanisi kazini.
Ili kufikia lengo hilo, Serikali imefanya mapitio ya mishahara ya watumishi wake kuanzia tarehe 1 Julai 2022, ambapo ongezeko hilo linajumuisha viwango mbalimbali vya mishahara kwa kuzingatia kiwango cha kazi na uzoefu wa mtumishi.
Ngazi ya Mishahara TGS E Salary Scale 2025/2026
Marekebisho ya mishahara yaliyoanza kutekelezwa yameleta ongezeko la asilimia tofauti kwa ngazi mbalimbali za watumishi. Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale, Miongoni mwa mabadiliko makubwa ni pamoja na/Ngazi za Mishahara TGS E Salary Scale 2025/2026:
- Kima cha chini cha mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3, kutoka shilingi 300,000 kwa mwezi hadi shilingi 370,000 kwa mwezi/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.
- Ngazi nyingine za mishahara pia zimeboreshwa, na ongezeko limegawanywa kulingana na sifa za elimu, uzoefu, na nafasi za kazi katika utumishi wa umma/Ngazi ya Mishahara TGS E Salary Scale 2025/2026.

Viwango vya Mishahara ya TGS E Salary Scale
| Ngazi ya Mshahara | Kuanzia Julai, 2022/23 |
| TGS E.1 | 1,000,000 |
| TGS E.2 | 1,019,000 |
| TGS E.3 | 1,038,000 |
| TGS E.4 | 1,057,000 |
| TGS E.5 | 1,076,000 |
| TGS E.6 | 1,095,000 |
| TGS E.7 | 1,114,000 |
| TGS E.8 | 1,133,000 |
| TGS E.9 | 1,152,000 |
| TGS E.10 | 1,171,000 |
| TGS E.11 | 1,190,000 |
| TGS E.12 | 1,209,000 |
CHECK ALSO:






Weka maoni yako