Orodha ya Hat Trick Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Hadi Sasa

Orodha ya Hat Trick Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Hadi Sasa: Wachezaji waliofunga hat trick katika Ligi Kuu ya NBC 2024/2025: Ahoua, Dube, Mukwala, na Aziz KI wanaongoza kwenye orodha hii.

Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, jumla ya wachezaji wanne kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamefanikiwa kufunga hat trick (mabao matatu katika mechi moja), wakionyesha kiwango cha juu cha ushambuliaji kwa klabu zao.

โ€˜Hat trickโ€™ zimekuwa chanzo muhimu cha burudani kwa mashabiki wa soka nchini, huku pia zikionyesha kuongezeka kwa ushindani ndani ya ligi hiyo.

Orodha ya Hat Trick Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Hadi Sasa

Orodha ya Hat Trick Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Hadi Sasa
Orodha ya Hat Trick Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Hadi Sasa
  • ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Prince Dube (Azam FC)
    ๐Ÿ†š Mashujaa FC
    ๐Ÿ“ Uwanja wa Azam Complex

  • ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Stephane Aziz Ki (Yanga SC)
    ๐Ÿ†š KMC FC
    ๐Ÿ“ KMC Complex

  • ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Steven Mukwala (Singida Fountain Gate)
    ๐Ÿ†š Coastal Union
    ๐Ÿ“ Mkwakwani Stadium

  • ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Jean Charles Ahoua (Simba SC)
    ๐Ÿ†š Pamba Jiji FC
    ๐Ÿ“ KMC Complex

Msimu wa 2024/25 umeendelea kuwa na ushindani mkali miongoni mwa washambuliaji wa kimataifa wanaocheza Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Mashabiki watakuwa na matumaini ya kupata โ€˜hat trickโ€™ zaidi ligi inapoelekea ukingoni.

CHECK ALSO: