Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limethibitisha orodha ya vilabu vinavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. MASHINDANO ya vilabu kuu barani Afrika yanatarajiwa kuvutia mashabiki kutoka mataifa mbalimbali, huku timu bora kutoka kila kona ya bara hilo zikishiriki.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, vilabu 58 kutoka nchi 48 vitashiriki katika hatua ya awali na ya makundi. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Septemba 2025, huku mabingwa na washindi wa pili wa ligi za taifa husika wakishiriki/Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26.
Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
Ifuatayo ni Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26:-

-
๐ช๐ฌ Misri: Al Ahly, Pyramids FC
-
๐ธ๐ฉ Sudan: Al Hilal, El Merreikh
-
๐ง๐ฎ Burundi: Aigle Noir FC
-
๐ฉ๐ฏ Djibouti: ASAS/Djibouti Tel
-
๐ช๐น Ethiopia: Insurance Company
-
๐ฐ๐ช Kenya: Kenya Police FC
-
๐ท๐ผ Rwanda: APR FC
-
๐ธ๐ด Somalia: Mogadishu City Club
-
๐ธ๐ธ Sudan Kusini: Jamus FC (Juba)
-
๐ฟ๐ฆ Afrika Kusini: Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates
-
๐น๐ฟ Tanzania: Simba SC, Young Africans
-
๐ฟ๐ฒ Zambia: Power Dynamos
-
๐ฟ๐ผ Zimbabwe: Simba Bhora FC
-
๐น๐ณ Tunisia: Espรฉrance Sportive de Tunis, US Monastir
-
๐ฒ๐ฆ Morocco: RS Berkane, ASFAR
-
๐ง๐ฏ Benin: Dadje FC
-
๐ง๐ซ Burkina Faso: Rahimo FC
-
๐จ๐ฒ Cameroon: Colombe Sportive
-
๐จ๐ซ Jamhuri ya Afrika ya Kati: AS Tempรชte
-
๐ฌ๐ถ Equatorial Guinea: Fundaciรณn Bata
-
๐ฌ๐ฆ Gabon: AS Mangasport
-
๐ฌ๐ญ Ghana: Bibiani Goldstars FC
-
๐ฑ๐ท Liberia: FC Fassell
-
๐ฑ๐พ Libya: Libya 1, Libya 2 (TBD)
-
๐ณ๐ช Niger: Forces Armรฉes
-
๐ธ๐ฑ Sierra Leone: East End Lions
-
๐ฌ๐ฒ Gambia: Real de Banjul
-
๐น๐ฌ Togo: ASCK
-
๐ฉ๐ฟ Algeria: MC Alger, JS Kabylie
-
๐ฒ๐ฑ Mali: Stade Malien
-
๐จ๐ฎ Ivory Coast: ASEC Mimosas, Stade dโAbidjan
-
๐ฆ๐ด Angola: Atlรฉtico Petroleos, Willete SC
-
๐ณ๐ฌ Nigeria: Rivers United, Remo Stars
-
๐ฌ๐ณ Guinea: Horoya AC
-
๐ฒ๐ท Mauritania: FC Nouadhibou
-
๐ธ๐ณ Senegal: ASC Jaraaf
-
๐ฐ๐ฒ Comoros: US Zilimandjou
-
๐จ๐ฌ Congo: AC Lรฉopards
-
๐จ๐ฉ DR Congo: DR Congo 1, DR Congo 2 (TBD)
-
๐ธ๐ฟ Eswatini: Nsingizini Hotspurs
-
๐ฑ๐ธ Lesotho: Lioli FC
-
๐ฒ๐ฌ Madagascar: Elgeco Plus
-
๐ฒ๐ผ Malawi: Silver Strikers FC
-
๐ฒ๐บ Mauritius: Cercle de Joachim
-
๐ณ๐ฆ Namibia: African Stars
-
๐ธ๐จ Seychelles: Cรดte dโOr
-
๐บ๐ฌ Uganda: Vipers SC
-
๐ฒ๐ฟ Mozambique: Associaรงรฃo Black Bulls
CHECK ALSO:
Weka maoni yako