Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25

Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25 | Katika msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, makocha kadhaa wameonyesha kiwango cha juu cha ukocha na uongozi kwa timu zao na hivyo kutambuliwa na Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi. Tuzo hizi hutolewa kila mwezi kwa makocha waliopata matokeo bora na kutoa mchango mkubwa kwa timu zao.

Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25

Ifuatayo ni orodha rasmi ya washindi wa kila mwezi wa msimu huu:

Tuzo za Makocha Bora wa Mwezi – NBC PL 2024/25

  • Agosti 2024: Fadlu Davids πŸ‡ΏπŸ‡¦

  • Septemba 2024: Mohamed Muya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

  • Oktoba 2024: Rachid Taoussi πŸ‡²πŸ‡¦

  • Novemba 2024: Rachid Taoussi πŸ‡²πŸ‡¦

  • Desemba 2024: Sead RamoviΔ‡ πŸ‡©πŸ‡ͺ

  • Februari 2025: Miloud Hamdi πŸ‡©πŸ‡Ώ

  • Machi 2025: Fadlu Davids πŸ‡ΏπŸ‡¦

  • Aprili 2025: Miloud Hamdi πŸ‡©πŸ‡Ώ

  • Mei 2025: Fadlu Davids πŸ‡ΏπŸ‡¦

  • Juni 2025: ❓ (Bado kutangazwa)

Kocha Fadlu Davids kutoka Afrika Kusini ameibuka na tuzo hiyo mara tatu, jambo linalodhihirisha uimara wake katika msimu huu. Miloud Hamdi wa Algeria na Rachid Taoussi wa Morocco kila mmoja ametwaa tuzo hiyo mara mbili.

Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25
Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25

Mohamed Muya ndiye kocha pekee Mtanzania aliyeshinda tuzo hiyo kwa mwezi wa Septemba.

Tuzo ya Juni 2025 bado haijatangazwa, ikitarajiwa kutolewa baada ya kuhitimishwa rasmi kwa msimu mnamo Juni 25, 2025.

CHECK ALSO:

  1. Yanga SC vs Simba SC, Derby Kuamua Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania 2024/25
  2. Kagera Sugar na KenGold Wasuka Daraja, Playoff ni Fountain Gate na Tanzania Prisons
  3. Yanga SC vs Dodoma Jiji Leo Saa Ngapi 22/06/2025
  4. KIKOSI Cha Yanga SC Leo vs Dodoma Jiji 22/06/2025