Picha za Wachezaji Wapya wa Yanga 2025/2026, Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026, Klabu ya soka ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imekamilisha usajili wake kwa msimu wa 2025/2026 kwa kuwaleta wachezaji wapya wenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kuwakilisha klabu hiyo kwenye mashindano mbalimbali.
Usajili huu umefanyika kwa umakini na lengo kuu ni kuhakikisha klabu inakuwa na kikosi chenye ushindani ndani ya Tanzania na kwenye michuano ya kimataifa, hususan Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League).
Msimu huu mpya, Yanga SC itashiriki mashindano yafuatayo:
-
Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League)
-
Kombe la Shirikisho la Azam (FA Cup)
-
Kombe la Mapinduzi Zanzibar
-
Kombe la Muungano
-
Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
Picha za Wachezaji Wapya wa Yanga 2025/2026
Wachezaji Wapya Waliosajiliwa Yanga SC 2025/2026
Katika kuhakikisha timu inabaki na ubora wa juu, Yanga SC imefanya usajili wa kimkakati kwa kuzingatia nafasi muhimu uwanjani. Wachezaji walioletwa ni mchanganyiko wa vipaji vya ndani na vya kimataifa, wote wakiwa na rekodi nzuri katika klabu zao za awali/Picha za Wachezaji Wapya wa Yanga 2025/2026.
Baadhi ya Wachezaji Waliosajiliwa:
-
Moussa Balla Conté (Guinea) – Kutoka CS Sfaxien
-
Offen Chikola – Kutoka Tabora United
- Mudathir Yahya – Ameongeza Mkataba Mpya
CHECK ALSO:
Yanga hatupoi ni wa moto daima, naipenda yanga kwa ujumla. Ni timu bora na imara. Mungu awape nguvu zaidi
Mbona hata simba hatupoi vilevile
When will yanga day take place?