Ratiba Fainali za NBC Youth League 2024/2025: SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba rasmi ya Fainali za Ligi ya Vijana ya NBC 2024/2025, ambapo timu nane kutoka mikoa mbalimbali nchini zitachuana kuwania ubingwa wa vijana msimu huu.
Ratiba Fainali za NBC Youth League 2024/2025
Mechi zote zitachezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex kuanzia Mei 19 hadi 29, 2025/Ratiba Fainali za NBC Youth League 2024/2025.
Makundi ya Mashindano
Mashindano haya yamegawanywa katika makundi mawili:
Kundi A:
- Simba SC – Dar es Salaam
- Kengold FC – Mbeya
- Dodoma Jiji – Dodoma
- Azam FC – Dar es Salaam
Kundi B:
- Tanzania Prisons – Mbeya
- Fountain Gate – Manyara
- Kagera Sugar – Kagera
- Young Africans – Dar es Salaam
Ratiba Kamili ya Mechi
Mei 19, 2025
Saa 10:00 jioni | Simba SC vs Dodoma Jiji | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Azam FC vs Kengold FC | Azam Complex
Mei 20, 2025
Saa 10:00 jioni | Kagera Sugar vs Fountain Gate | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Young Africans vs Tanzania Prisons | Azam Complex
Mei 21, 2025
Saa 10:00 jioni | Kengold FC vs Simba SC | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Azam FC vs Dodoma Jiji | Azam Complex
Mei 22, 2025
Saa 10:00 jioni | Kagera Sugar vs Tanzania Prisons | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Fountain Gate vs Young Africans | Azam Complex
Mei 23, 2025
Saa 10:00 jioni | Kengold FC vs Dodoma Jiji | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Azam FC vs Simba SC | Azam Complex
Mei 24, 2025
Saa 10:00 jioni | Fountain Gate vs Tanzania Prisons | Azam Complex
Saa 12:00 jioni | Kagera Sugar vs Young Africans | Azam Complex

Mei 25, 2025
Siku ya mapumziko (Rest Day)
Hatua ya Nusu Fainali
Mei 27, 2025
Mchezo #125: Mshindi Kundi A vs Mshindi wa Pili Kundi B | Azam Complex
Mchezo #126: Mshindi Kundi B vs Mshindi wa Pili Kundi A | Azam Complex
Mei 28, 2025
Siku ya mapumziko (Rest Day)
Mchezo wa Kusaka Nafasi ya Tatu na Fainali
Mei 29, 2025
Saa TBD | Mchezo #127: Waliofungwa Nusu Fainali
Saa TBD | Mchezo #128: Washindi wa Nusu Fainali – Fainali Kuu
CHECK ALSO:
Weka maoni yako