Ratiba Mechi za Ligi Kuu NBC Tanzania April 5 na 6, 2025 | Ligi kuu ya Tanzania bara NBC inaendelea wikendi hii kwa mechi sita katika viwanja mbalimbali nchini. Mashabiki wa soka wanatarajia burudani mbalimbali huku kila timu ikipania kupata pointi muhimu kuelekea mwisho wa msimu.
Ligi Kuu ya Tanzania Bara ni ligi ya kiwango cha juu ya soka ya Tanzania, inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania.
Ratiba Mechi za Ligi Kuu NBC Tanzania April 5 na 6, 2025
Saa 8:00 mchana. kwenye Uwanja wa CCM Pamba, Jiji FC wakiwakaribisha Tabora United.
Saa 10:15 jioni. kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Mashujaa FC, chini ya uongozi wa kocha wao mpya, Salum Mayanga, itamenyana na Fountain Gate FC, iliyochapwa mabao 3-0 nyumbani.
Mechi za Ijumaa, Aprili 5, 2025
Pamba Jiji vs Tabora United
π Saa 8:00 Mchana
πΊ Azam Sports HD
Mashujaa vs Fountain Gate
π Saa 10:15 Jioni
πΊ Azam Sports HD
Mechi za Jumamosi, Aprili 6, 2025
Tanzania Prisons vs Kagera Sugar
π Saa 8:00 Mchana
πΊ Azam Sports HD
Singida BS vs Azam FC
π Saa 10:15 Jioni
πΊ Azam Sports HD
Dodoma Jiji vs KenGold
π§ Saa 12:30 Jioni
πΊ Azam Sports HD
Namungo FC vs KMC FC
π Saa 3:00 Usiku
πΊ Azam Sports HD
Watazamaji wanakumbushwa kufuatilia mechi hizi kupitia chaneli ya Azam Sports HD, kwani ratiba inaweza kubadilika kulingana na hali ya hewa au maamuzi ya kamati ya ligi. Inashauriwa kufuatilia matangazo rasmi ya TFF au Azam TV kwa taarifa sahihi zaidi.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako