Ratiba Mechi za Mwisho za Ligi Kuu NBC Jumapili Hii Juni 22, 2025 | Mechi 30 ya Ligi Kuu ya NBC itafanyika Juni 22 kukamilisha msimu wa 2024/2025
Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) unaelekea ukingoni. Siku ya Mechi 30 itachezwa Jumapili, Juni 22, 2025, mechi ya mwisho ya msimu.
Kwa mujibu wa ratiba rasmi, timu zote 16 zitashuka dimbani kwa wakati mmoja saa 10:00 Jioni katika viwanja mbalimbali nchini ili kuhakikisha kuwepo kwa ushindani wa haki na kudhibiti ushawishi wa matokeo ya timu nyingine.
Ratiba Mechi za Mwisho za Ligi Kuu NBC Jumapili Hii Juni 22, 2025
-
Mashujaa vs JKT Tanzania – Sinema Zetu
-
Pamba Jiji vs KMC FC – UTV
-
Simba SC vs Kagera Sugar – Azam Sports 2 HD
-
Namungo vs KenGold – Azam TWO
-
Singida BS vs Tanzania Prisons – Azam Sports 4 HD
-
Young Africans vs Dodoma Jiji – Azam Sports 1 HD
-
Coastal Union vs Tabora United – Azam ONE
-
Fountain Gate vs Azam FC – Azam Sports 3 HD

Mechi hizi zina uzito mkubwa kwa kila timu, kwa sababu:
-
Timu zitakazoshuka daraja au kushiriki mchujo wa kubaki ligi kuu zitajulikana.
-
Wachezaji pia wanatumia fursa hii kuonyesha uwezo wao kabla ya dirisha la usajili.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako