Ratiba ya AFCON 2025/2026

Ratiba ya AFCON 2025/2026 – Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025/2026 yanatarajiwa kuchezwa kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026/Ratiba ya AFCON 2025/2026.

Ratiba rasmi ya hatua ya makundi na mchujo imetolewa, ikionyesha michezo ya kuvutia kati ya vigogo wa soka la Afrika na timu zinazotafuta nafasi ya kutengeneza historia mpya/Ratiba ya AFCON 2025/2026.

Ratiba ya AFCON 2025/2026

Ratiba ya Hatua ya Makundi

Jumapili 21 Desemba

  • Morocco 🆚 Comoros — 4:00 Usiku

Jumatatu 22 Desemba

  • Mali 🆚 Zambia — 11:00 Jioni

  • Afrika Kusini 🆚 Angola — 2:00 Usiku

  • Misri 🆚 Zimbabwe — 5:00 Usiku

Jumanne 23 Desemba

  • Congo DR 🆚 Benin — 9:30 Alasiri

  • Senegal 🆚 Botswana — 12:00 Jioni

  • Nigeria 🆚 Tanzania — 2:30 Usiku

  • Tunisia 🆚 Uganda — 5:00 Usiku

Jumatano 24 Desemba

  • Burkina Faso 🆚 Eq. Guinea — 9:30 Alasiri

  • Algeria 🆚 Sudan — 12:00 Jioni

  • Ivory Coast 🆚 Msumbiji — 2:30 Usiku

  • Cameroon 🆚 Gabon — 5:00 Usiku

Ijumaa 26 Desemba

  • Angola 🆚 Zimbabwe — 9:30 Alasiri

  • Misri 🆚 Afrika Kusini — 12:00 Jioni

  • Zambia 🆚 Comoros — 2:30 Usiku

  • Morocco 🆚 Mali — 5:00 Usiku

Ratiba ya AFCON 2025/2026
Ratiba ya AFCON 2025/2026

Jumamosi 27 Desemba

  • Benin 🆚 Botswana — 9:30 Alasiri

  • Senegal 🆚 Congo DR — 12:00 Jioni

  • Uganda 🆚 Tanzania — 2:30 Usiku

  • Nigeria 🆚 Tunisia — 5:00 Usiku

Jumapili 28 Desemba

  • Gabon 🆚 Msumbiji — 9:30 Alasiri

  • Eq. Guinea 🆚 Sudan — 12:00 Jioni

  • Algeria 🆚 Burkina Faso — 2:30 Usiku

  • Ivory Coast 🆚 Cameroon — 5:00 Usiku

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/2026
  2. Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
  3. Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
  4. CAF Yaitoza TFF Faini ya Dola 10000 kwa Kuvunja Masharti ya Usalama