Ratiba ya AFCON 2025 Hatua ya 16 Bora | Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayoendelea nchini Morocco yamefikia hatua muhimu ya 16 bora. Hatua hii inawakutanisha timu bora kutoka hatua ya makundi, ambapo kila mechi ni ya mtoano na ushindi pekee ndio unaohitajika ili kusonga mbele.
Kwa mujibu wa ratiba iliyoonyeshwa kwenye picha rasmi ya mashindano, mechi za 16 bora zitachezwa kuanzia Jumamosi 3 Januari hadi Jumanne 6 Januari, zikiwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka barani Afrika.
Ratiba ya AFCON 2025 Hatua ya 16 Bora
Jumamosi, 3 Januari
-
Senegal 🇸🇳 vs Sudan 🇸🇩 – Saa 1:00 Usiku
-
Mali 🇲🇱 vs Tunisia 🇹🇳 – Saa 4:00 Usiku
Jumapili, 4 Januari
-
Morocco 🇲🇦 vs Tanzania 🇹🇿 – Saa 1:00 Usiku
-
South Africa 🇿🇦 vs Cameroon 🇨🇲 – Saa 4:00 Usiku

Jumatatu, 5 Januari
-
Egypt 🇪🇬 vs Benin 🇧🇯 – Saa 1:00 Usiku
-
Nigeria 🇳🇬 vs Mozambique 🇲🇿 – Saa 4:00 Usiku
Jumanne, 6 Januari
-
Algeria 🇩🇿 vs DR Congo 🇨🇩 – Saa 1:00 Usiku
-
Ivory Coast 🇨🇮 vs Burkina Faso 🇧🇫 – Saa 4:00 Usiku
Hatua ya 16 bora ya AFCON 2025 inaashiria mwanzo wa mapambano makali ya kusaka ubingwa wa Afrika. Kwa ratiba hii, mashabiki wanatarajia burudani ya kiwango cha juu, mshindani mkali, na matokeo yasiyotabirika. Kila timu italazimika kutoa kiwango cha juu ili kuendelea na safari ya AFCON 2025.
CHECK ALSO:






Weka maoni yako