Ratiba ya CECAFA 4 Nations Tournament Arusha 2025: SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza rasmi ratiba ya Mashindano ya Mataifa manne ya CECAFA Arusha 2025, yatakayofanyika kuanzia Julai 21 hadi 27, 2025, kwenye Uwanja wa Karatu, mkoani Arusha, Tanzania.
Michuano hii maalum, inayoshirikisha timu nneβTanzania, Uganda, Kenya, na Congo Brazzavilleβinaandaliwa ili kutoa maandalizi ya kina kwa mataifa hayo kabla ya ushiriki wao katika michuano ya CHAN 2024, iliyopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Ratiba ya CECAFA 4 Nations Tournament Arusha 2025
Ratiba ya Mechi: CECAFA 4 Nations Tournament 2025
π Match Day 1 – Julai 21, 2025
-
π°πͺ Kenya vs πΊπ¬ Uganda β π 13:00 | π Karatu Stadium
-
πΉπΏ Tanzania vs π¨π¬ Congo Brazzaville β π 16:00 | π Karatu Stadium
π Match Day 2 – Julai 24, 2025
3. π¨π¬ Congo Brazzaville vs πΊπ¬ Uganda β π 13:00 | π Karatu Stadium
4. πΉπΏ Tanzania vs π°πͺ Kenya β π 16:00 | π Karatu Stadium

π Match Day 3 – Julai 27, 2025
5. π°πͺ Kenya vs π¨π¬ Congo Brazzaville β π 13:00 | π Karatu Stadium
6. πΊπ¬ Uganda vs πΉπΏ Tanzania β π 16:00 | π Karatu Stadium
CECAFA iliandaa michuano hiyo kama sehemu ya maandalizi rasmi ya mataifa kwa ajili ya CHAN 2024 (Michuano ya Mataifa ya Afrika), mashindano ambayo hushirikisha wachezaji pekee kutoka ligi zao za kitaifa/Ratiba ya CECAFA 4 Nations Tournament Arusha 2025.
Kwa kuzingatia umuhimu wa maandalizi ya kiufundi, mazoezi ya timu, na mechi za kimataifa za mashindano, Mashindano ya Mataifa Nne ya CECAFA yanatarajiwa kuwa jukwaa muhimu kwa makocha kutathmini ubora wa vikosi vyao na kufanya marekebisho kabla ya CHAN.
CHECK ALSO:







Weka maoni yako