Ratiba ya kufuzu kwa Kombe la Afrika la Wanawake 2026 | Hatua ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Afrika la Wanawake 2026 nchini Morocco.
Michuano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 imefikia hatua ya mwisho, ambapo timu zitachuana katika mechi mbili (nyumbani na ugenini) kuwania tiketi ya kushiriki michuano hiyo. Mechi hizi zitatumika kubainisha ni timu gani zitaungana na wenyeji wa michuano hiyo katika fainali za Afrika.
Ratiba ya kufuzu kwa Kombe la Afrika la Wanawake 2026
Ifuatayo ni ratiba kamili ya mechi zote za raundi ya mwisho ya mchujo:

Ratiba ya Mechi za Mzunguko wa Kwanza
🔹 Angola 🆚 Malawi
🔹 D.R. Congo 🆚 Afrika Kusini
🔹 Ethiopia 🆚 Tanzania
🔹 Namibia 🆚 Zambia
🔹 Burkina Faso 🆚 Togo
🔹 Algeria 🆚 Cameroon
🔹 Egypt 🆚 Ghana
🔹 Kenya 🆚 Gambia
🔹 Benin 🆚 Nigeria
🔹 Cape Verde 🆚 Mali
🔹 Senegali 🆚 Ivory Coast
Ratiba ya Mechi za Marudiano
🔹 Malawi 🆚 Angola
🔹 Afrika Kusini 🆚 D.R. Congo
🔹 Tanzania 🆚 Ethiopia
🔹 Zambia 🆚 Namibia
🔹 Togo 🆚 Burkina Faso
🔹 Cameroon 🆚 Algeria
🔹 Ghana 🆚 Egypt
🔹 Gambia 🆚 Kenya
🔹 Nigeria 🆚 Benin
🔹 Mali 🆚 Cape Verde
🔹 Ivory Coast 🆚 Senegali
CHECK ALSO:
Weka maoni yako