Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026, Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025.
Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons, Mkwakwani Tanga.
Manguli wa soka la Bongo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu msimu mpya 2025/26 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Desemba 13, 2025 Yanga akiwa wenyeji, huku mchezo wa pili ukipangwa kuchezwa Aprili 4, 2026 Simba akiwa wenyeji.
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2025/2026
SOMA PIA:
Weka maoni yako