Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League: Ligi kuu ya NBC inarejea leo kwa mechi nne za kusisimua mashabiki wa soka wa Tanzania. Mechi kubwa ya siku hiyo ni Tabora United dhidi ya Yanga SC, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuanzia saa 10:15 jioni.
Tabara United dhidi ya Yanga SC: Je, Yanga watalipiza kisasi?
Raundi ya kwanza Yanga SC ilipoteza kwa Tabora United licha ya kucheza nyumbani na kuwaacha Wananchi wakiwa na kiu ya kulipa kisasi. Timu zote zinajiandaa kupata pointi tatu muhimu katika mbio za ubingwa na kujihakikishia nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League
Mechi za Ijumaa, Aprili 5, 2025
Pamba Jiji vs Tabora United
🕗 Saa 8:00 Mchana
📺 Azam Sports HD
Mashujaa vs Fountain Gate
🕙 Saa 10:15 Jioni
📺 Azam Sports HD
Mechi za Jumamosi, Aprili 6, 2025
Tanzania Prisons vs Kagera Sugar
🕗 Saa 8:00 Mchana
📺 Azam Sports HD
Singida BS vs Azam FC
🕙 Saa 10:15 Jioni
📺 Azam Sports HD
Dodoma Jiji vs KenGold
🕧 Saa 12:30 Jioni
📺 Azam Sports HD
Namungo FC vs KMC FC
🌙 Saa 3:00 Usiku
📺 Azam Sports HD

Mchezo wa Tabora United dhidi ya Yanga SC utaruka mubashara kupitia Azam Sports 1HD, hivyo mashabiki wa soka watapata fursa ya kushuhudia pambano hili linalotajwa kuwa la kisasi kwa Wananchi.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako