Ratiba ya Michezo ya Play Off NBC Premier League

Ratiba ya Michezo ya Play Off NBC Premier League: MTOANO NBC PREMIER LEAGUE 2024/2025: FOUNTAIN GATE VS TANZANIA PRISONS – NANI ATASALIA LIGI KUU?

Mwishoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, timu mbili zitamenyana katika hatua ya mchujo ili kujua nani atasalia kwenye ligi kuu ya soka ya Tanzania.

Ratiba ya Michezo ya Play Off NBC Premier League

Timu zitakazomenyana ni Fountain Gate na Tanzania Prisons, katika mechi mbili za nyumbani na ugenini, zitakazochezwa hivi:

Ratiba ya Michezo ya Play Off NBC Premier League
Ratiba ya Michezo ya Play Off NBC Premier League

Ratiba ya Mechi za Mtoano NBC Premier League 2024/25

🔹 Alhamisi, Juni 26

  • Fountain Gate vs Tanzania Prisons

  • Saa 10:00 Jioni

  • Mechi hii itapigwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Fountain Gate.

🔹 Jumatatu, Juni 30

  • Tanzania Prisons vs Fountain Gate

  • Saa 10:00 Jioni

  • Mechi ya marudiano itapigwa katika dimba la Tanzania Prisons.

Hatua hii ya mtoano ndiyo huamua hatima ya timu kutoka ligi kuu (NBC Premier League) na nyingine kutoka Championship (daraja la kwanza). Fountain Gate na Tanzania Prisons wanapigania kusalia ligi kuu baada ya kumaliza msimu kwenye eneo la kushuka daraja.

Mshindi wa mechi zote mbili atapanda moja kwa moja hadi Ligi Kuu ya NBC msimu ujao (2025/2026). Timu itakayoshindwa kwa jumla ya mabao haitashushwa daraja moja kwa moja, bali itajihakikishia nafasi ya pili kwa kucheza hatua nyingine ya mchujo dhidi ya timu inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, Stan United FC.

CHECK ALSO:

  1. KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo 25/06/2025
  2. MATOKEO ya Yanga vs Simba Leo 25/06/2025
  3. Yanga vs Simba Leo 25/06/2025 Saa Ngapi?
  4. Simba Hawajatokea Kwenye Mkutano na Waandishi Kabla ya Dabi ya Kariakoo