Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025

Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025: Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (“CAF”), pamoja na Kamati za Maandalizi za Ndani za mataifa matatu wenyeji Kenya, Tanzania na Uganda, zimetoa Ratiba ya Mechi ya Jumla Michuano ya Mataifa ya Afrika ya CAF (“CHAN”) 2024/2025 CAF African Nations Championship.

Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025

Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025
Ratiba ya Robo Fainali ya CHAN 2025

Quarter-final Fixtures

Friday, 22 August 2025

  • 17:00 – Kenya v Madagascar – Moi Sports Centre Kasarani, Nairobi
  • 20:00 – Tanzania v Morocco – Benjamin Mkapa Stadium

Saturday, 23 August 2025

  • 17:00 – Sudan v Algeria – Amaan Stadium
  • 20:00 – Uganda v Senegal – Mandela National Stadium

Wednesday, 26 August 2025

  • 17:30 – Semi-final 1 – Benjamin Mkapa Stadium
  • 20:30 – Semi-final 2 – Mandela National Stadium

Friday, 29 August 2024

  • 18:00 – Third-place playoff – Mandela National Stadium

Saturday, 30 August 2024

  • 18:00 – Final – Moi Sports Centre Kasarani, Nairobi

SOMA PIA:

  1. Timu Zilizoondolewa Kwenye Michuano ya CHAN 2024/2025
  2. Ni Simba SC vs Yanga SC Ngao ya Jamii 2025
  3. Simba Day 2025 Kufanyika Septemba 7 Benjamin Mkapa
  4. CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26