Ratiba ya Yanga SC 2025/2026

Ratiba ya Yanga SC 2025/2026, Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imetangaza ratiba yake kamili ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2025/2026. Wananchi wataanza kampeni ya kutetea taji lao mnamo 24 Septemba 2025 kwa kucheza dhidi ya Pamba Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Baada ya mchezo wa ufunguzi, Yanga itasafiri kuelekea Mbeya kucheza na Mbeya City FC mnamo 30 Septemba 2025, kabla ya kurejea nyumbani kwa michezo mingine mikubwa ya ligi/Ratiba ya Yanga SC 2025/2026.

Ratiba ya Yanga SC 2025/2026

Michezo Mikubwa Inayosubiriwa

Ratiba inaonesha michezo kadhaa mikubwa ikiwemo:

  • 13 Desemba 2025: Yanga SC 🆚 Simba SC (Derby ya Kariakoo)

  • 04 Aprili 2026: Simba SC 🆚 Yanga SC (Mkondo wa pili wa Derby)

  • 14 Mei 2026: Yanga SC 🆚 Azam FC

  • 23 Mei 2026: JKT Tanzania 🆚 Yanga SC (Mchezo wa mwisho wa msimu)

Ratiba ya Yanga SC 2025/2026
Ratiba ya Yanga SC 2025/2026

Ratiba ya Michezo Muhimu ya Yanga SC 2025/26

  • 24 Septemba 2025 (19:00) – Yanga SC 3-0 Pamba Jiji FC

  • 27 Septemba 2025 (19:00) – Yanga SC 🆚 Wiliete SC
  • 30 Septemba 2025 (16:15) – Mbeya City 🆚 Yanga SC

  • 29 Oktoba 2025 (19:00) – Yanga SC 🆚 Mtibwa Sugar

  • 01 Novemba 2025 (16:15) – Tanzania Prisons 🆚 Yanga SC

  • 04 Novemba 2025 – Yanga SC 🆚 KMC FC

  • 04 Desemba 2025 (19:00) – Namungo FC 🆚 Yanga SC

  • 10 Desemba 2025 (19:00) – Coastal Union 🆚 Yanga SC

  • 13 Desemba 2025 (17:00) – Yanga SC 🆚 Simba SC

  • 18 Februari 2026 (19:00) – Yanga SC 🆚 Dodoma Jiji FC

  • 23 Februari 2026 (16:15) – Singida BS 🆚 Yanga SC

  • 26 Februari 2026 (19:00) – Yanga SC 🆚 Mashujaa FC

  • 01 Machi 2026 (18:30) – Yanga SC 🆚 Fountain Gate FC

  • 04 Machi 2026 (16:15) – Pamba Jiji 🆚 Yanga SC

  • 04 Aprili 2026 – Simba SC 🆚 Yanga SC

  • 14 Mei 2026 (16:00) – Yanga SC 🆚 Azam FC

  • 20 Mei 2026 (16:00) – Yanga SC 🆚 TRA United

  • 23 Mei 2026 (16:00) – JKT Tanzania 🆚 Yanga SC

Ratiba hii inaonesha wazi kuwa Yanga SC inakabiliwa na msimu wenye changamoto kubwa, hasa kutokana na msongamano wa michezo mikubwa dhidi ya Simba SC, Azam FC, na wapinzani wapya wa ligi.

Ratiba ya Yanga SC 2025/2026, Mashabiki wanatarajia kuona timu yao ikidumisha ubora na kufanikisha azma ya kutetea ubingwa wa NBC Premier League 2025/26.

CHECK ALSO:

  1. Kikosi cha Singida Black Stars Leo vs Rayon Sports 27/09/2025
  2. MATOKEO Singida Black Stars Leo vs Rayon Sports 27/09/2025
  3. Singida BS vs Rayon Sports Leo 27/09/2025 Saa Ngapi?
  4. KIKOSI cha Yanga Leo vs Wiliete 27/09/2025