Safari Lager π Yanga Leo Saa Ngapi? Matokeo ya Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025, Yanga SC vs Safari Lager Leo KMC Complex: Kikosi Kipya Kuwashangaza Mashabiki. Yanga SC inarejea kucheza dhidi ya Safari Lager leo ikiwa ni mechi yao ya kwanza tangu msimu mpya
Young Africans Sports Club (Yanga SC), mabingwa wa kihistoria wa soka Tanzania, wataanza kwa mara ya kwanza leo Julai 25, 2025 katika mechi yao ya kwanza tangu kumalizika kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC wa 2024/2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex kuanzia saa 6:00 Mchana dhidi ya Safari Lager.
Tukio hili limeibua mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini hasa wale wa Yanga ambao wanatarajia kuona mabadiliko kwenye kikosi hicho hasa wachezaji wapya waliotangazwa hivi karibuni na uongozi wa klabu hiyo.
Wakati wa maandalizi ya msimu mpya, Yanga SC imesajili wachezaji kadhaa wapya ili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao. Mechi ya leo inatarajiwa kuwa kipimo muhimu kwa wakufunzi na wachezaji wapya, ambao wataweza kuonyesha ustadi wao kabla ya mechi rasmi za ligi na mashindano ya kimataifa.

Safari Lager π Yanga Leo Saa Ngapi?
β½οΈSafari Lager πYoung Africans SC
ποΈKMC Complex, Mwenge
π26.07.2025
πKuanzia saa 6 mchana
πππππππππ
Mzunguko – 1,000 | VIP B – 3,000 | VIP A – 5,000
Hata hivyo, pamoja na ubora wa kikosi cha Yanga, mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na maandalizi ya Safari Lager, ambao nao wanasaka nafasi ya kujipima na kuonyesha umahiri wao dhidi ya wapinzani wao hao.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako