Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Tanga, Serikali imethibitisha kuwa jumla ya wanafunzi 937,581, sawa na asilimia 100 ya waliohitimu darasa la saba mwaka 2025 na kupata alama kati ya 121 hadi 300, wamechaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2026. Taarifa hii imetolewa Desemba 4, 2025 na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, katika mkutano na waandishi wa habari.
Uchaguzi huu umefanyika kwa kuzingatia miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ikihakikisha kila mwanafunzi mwenye sifa anapata nafasi katika shule za Serikali.
Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Tanga

BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA
| BUMBULI DC | HANDENI DC | HANDENI TC |
| KILINDI DC | KOROGWE DC | KOROGWE TC |
| LUSHOTO DC | MKINGA DC | MUHEZA DC |
| PANGANI DC | TANGA CC |
CHECK ALSO:






Weka maoni yako