Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025 Saa Ngapi? Ratiba ya Mchezo wa Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi.

Simba SC (maarufu Wekundu wa Msimbazi au Mnyama) itashuka uwanjani Jumamosi hii kumenyana na Gaborone United ya Botswana katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025/26.

Mechi hii ni sehemu ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na inatoa fursa muhimu kwa Simba SC kuanza msimu wao kwa nguvu. Matokeo hayo ya ugenini yatawafanya wajiamini sana kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa jijini Dar es Salaam.

Pamoja na historia na uzoefu wao mkubwa katika michuano ya kimataifa, Simba SC wanapaswa kuwa makini dhidi ya Gaborone United ambayo mara nyingi hutumia faida ya nyumbani na mashabiki wao. Nidhamu na umakini katika muda wote wa dakika 90 vitakuwa muhimu kwa Wekundu wa Msimbazi.

Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?
Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

  • Mechi: Gaborone United 🇧🇼 vs 🇹🇿 Simba SC

  • Uwanja: Francistown Stadium, Botswana

  • Tarehe: Jumamosi, Septemba 20, 2025

  • Muda: Saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL 2025/2026
  2. Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025
  3. Wiliete SC Vs Yanga Leo Saa Ngapi?