Simba Yapata Pengo Kubwa Kabla ya Mechi Dhidi ya Coastal Union

Simba Yapata Pengo Kubwa Kabla ya Mechi Dhidi ya Coastal Union | Simba SC itawakosa nyota wake wawili tegemeo kipa Moussa Camara 🇬🇳 na beki Che Malone 🇨🇲 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union leo Machi 1 kutokana na majeraha.

Simba Yapata Pengo Kubwa Kabla ya Mechi Dhidi ya Coastal Union

Moussa Camara kukosa mechi ya ufunguzi wa msimu

➡️ Camara anakosa mechi yake ya kwanza msimu huu baada ya kucheza mechi 20 na kukamilisha jumla ya dakika 1,800 uwanjani.
➡️ Anashikilia rekodi ya clean sheet 15, moja ya takwimu bora msimu huu.

Simba Yapata Pengo Kubwa Kabla ya Mechi Dhidi ya Coastal Union
Simba Yapata Pengo Kubwa Kabla ya Mechi Dhidi ya Coastal Union

Che Malone pia nje kwa majeraha

Beki wa kati mahiri wa Simba, Che Malone naye ataikosa mechi hiyo muhimu, ambayo inaweza kuwa pigo kwa safu ya ulinzi ya wekundu wa Msimbazi Simba.

Changamoto kwa Simba SC dhidi ya Coastal Union: Pengo kati ya Camara na Malone linaweza kuwa mtihani kwa Simba SC, hasa dhidi ya Coastal Union ambayo mara nyingi hutoa ushindani mkali inapocheza nyumbani.

Je, Simba inaweza kuhimili hasara bila nyota hawa wawili muhimu? Mchezo wa leo utatoa majibu! ⚽🔥

CHECK ALSO: