Simba Yapoteza 2-0 Dhidi ya Al Masry, Marudiano Kuamua Nusu Fainali: Simba SC ilipokea kichapo cha mabao 2-0 ugenini kutoka kwa Al Masry ya Misri katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC). Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Suez Canal, Ismailia, Misri.
Simba Yapoteza 2-0 Dhidi ya Al Masry, Marudiano Kuamua Nusu Fainali
Matokeo ya mechi:
๐ดย Al Masry ๐ช๐ฌ 2-0 ๐น๐ฟ Simba SC
โฝ 16′ Deghmoum โฝ 90+1′ John
Kwa matokeo haya, Simba SC lazima ishinde kwa zaidi ya mabao mawili katika mkondo wa pili ili kufuzu kwa nusu fainali. Mechi ya mkondo wa pili itachezwa Aprili 9, 2025, jijini Dar es Salaam.
Je, Simba SC wana nafasi gani kufikia hili?
Kwa sasa Wekundu hao wa Msimbazi wanahitaji angalau ushindi wa mabao zaidi ya mawili ili kufuzu moja kwa moja au angalau kulazimisha sare. Je, Simba SC wanaweza kutoka nyuma na kusonga mbele? Inasubiri hadi Aprili 9!
Matokeo Mengine ya Robo Fainali ya CAFCC
โ
Asec Mimosas ๐จ๐ฎ 0-1 ๐ฒ๐ฆ RS Berkane
โฝ 75′ Riahi
โ
Constantine ๐ฉ๐ฟ 1-1 ๐ฉ๐ฟ USM Alger
โฝ 29′ Temine
โฝ 73′ Mondeko Zatu
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako