Singida Black Stars Dhidi ya Simba Mei 28 na 31, NBC na CRDB Federation Cup

Singida Black Stars Dhidi ya Simba Mei 28 na 31, NBC na CRDB Federation Cup: Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Black Stars Bw.Massanza Mazengo (@massanzajr), amethibitisha kuwa kikosi chake kimejipanga kikamilifu kwa mechi mbili muhimu dhidi ya Simba SC, zitakazochezwa mwishoni mwa mwezi Mei 2025.

Singida Black Stars Dhidi ya Simba Mei 28 na 31, NBC na CRDB Federation Cup

Mechi hizo ni pamoja na mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), pamoja na mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azaki Federation Cup – CRDB Bank Federation Cup.

Singida Black Stars Dhidi ya Simba Mei 28 na 31, NBC na CRDB Federation Cup
Singida Black Stars Dhidi ya Simba Mei 28 na 31, NBC na CRDB Federation Cup

Kwa mujibu wa ratiba, mechi hizo zitachezwa Mei 28 na 31, 2025. Mechi ya kwanza itakuwa ya ligi, wakati ya pili itakuwa ya nusu fainali ya Kombe la FA.

“Tunacheza mechi mbili na timu moja… walifanikiwa kutufunga kwetu na sisi tutawafunga kwao…”  Amesema massanza.

Kwa upande wa Ligi Kuu ya NBC, matokeo ya mechi hiyo yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye msimamo wa mwisho wa ligi msimu huu. Wakati huo huo, nusu fainali ya Kombe la FA itampa mshindi fursa ya kufuzu kwa fainali hiyo ambayo pia inatoa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa barani Afrika (CAF Confederation Cup).

CHECK ALSO: