Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25

Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25 | Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN 2024) inaanza rasmi Agosti 2, 2024.

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itafungua dimba kwa kumenyana na Burkina Faso katika mchezo wa kwanza wa Kundi B, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25

Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ataiongoza timu yake katika mechi ya ufunguzi dhidi ya wapinzani hao wazoefu wa Afrika Magharibi.

Mashindano ya CHAN 2024 yamegawanywa katika makundi manne (A-D) na yanaandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Uganda, na Kenya. Itafanyika katika kumbi tano tofauti kati ya Agosti 2 na 30, 2024.

Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25
Taifa Stars Kufungua Dhidi ya Burkina Faso Agosti 2 kwa Mkapa CHAN 2024/25
  • Mechi za Kundi: Agosti 2-19
  • Robo fainali: Agosti 22-23
  • Nusu fainali na fainali: Ratiba rasmi itatangazwa baada ya hatua ya makundi.

Mashabiki wa soka nchini wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kuisapoti Taifa Stars katika mechi ya ufunguzi. CHAN ni jukwaa muhimu kwa wachezaji wa ndani kuonyesha vipaji vyao kwa Afrika na ulimwengu.

CHECK ALSO:

  1. Azam Yathibitisha Kuachana na Gibril Sillah
  2. Usiku wa Vitasa Julai, Ibrahim Classic vs Nassib Ramadhani Rekodi Zao
  3. Kikosi Cha Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025
  4. MATOKEO ya Yanga Leo vs Singida Black Stars 29/06/2025