TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026

TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026, Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano, 2025 TAMISEMI Form Five Selection | Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 – Mwongozo Kamili kutoka TAMISEMI.

Majina ya wanafunzi waliofaulu na kupangiwa kuingia kidato cha 5 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa taarifa ambazo wahitimu wa kidato cha 4 nchini Tanzania wanazisubiri kwa hamu na kuzifuatilia kwa karibu. TAMISEMI imetanabaisha kuwa majina ya waliochaguliwa kwa masomo ya kidato cha tano kwa mwaka wa 2025-2026 yatatangazwa muda simrefu mwezi huu june, 2025.

TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026

ARUSHA

DAR ES SALAAM

DODOMA

GEITA

IRINGA

KAGERA

KATAVI

KIGOMA

KILIMANJARO

LINDI

MANYARA

MARA

MBEYA

MOROGORO

MTWARA

MWANZA

NJOMBE

PWANI

RUKWA

RUVUMA

SHINYANGA

SIMIYU

SINGIDA

SONGWE

TABORA

TANGA

2. Namna ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa

Wanafunzi na wazazi wanaweza kufuatilia orodha ya waliochaguliwa kupitia njia rasmi ifuatayo:

Hatua kwa Hatua:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz

  2. Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Form Five Selection 2025” au “Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025”

  3. Chagua mkoa alikofanyia mtihani mwanafunzi

  4. Chagua shule au jina la mwanafunzi kwa kutumia namba ya mtihani

  5. Orodha itajitokeza na jina la mwanafunzi likiwa limeambatana na shule aliyopangiwa

Angalizo: Wanafunzi wanashauriwa kutumia namba sahihi ya mtihani na kuhakikisha wanatembelea tovuti sahihi ili kuepuka upotoshaji au taarifa feki kutoka mitandao isiyo rasmi.

TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026
TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026

3. Baada ya Kupangiwa Shule – Hatua Zinazofuata

Baada ya mwanafunzi kupangiwa shule, hatua zifuatazo hufuata:

  • Kupakua barua ya wito (joining instruction) kupitia tovuti ya shule husika au kupitia TAMISEMI.

  • Maandalizi ya kifedha na vifaa muhimu vya shule.

  • Kuripoti kwa wakati katika shule aliyopangiwa.

  • Kufuata masharti ya shule kulingana na maelezo ya barua ya wito.

4. Hitimisho na Ushauri kwa Wanafunzi

Kupangiwa kujiunga na kidato cha tano ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya mwanafunzi. Wanafunzi wanapaswa kujiandaa kisaikolojia na kimazingira ili kuanza elimu ya sekondari ya juu kwa ufanisi. Wazazi wanashauriwa kushirikiana kwa karibu na walimu na viongozi wa shule ili kuhakikisha maandalizi yanafanyika kwa ukamilifu.

CHECK ALSO: