Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma | Mkurugenzi wa Manispaa ya Halmashauri ya Manispaa ya Musoma anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-06-2025 hadi 23-06-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo (Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma):-

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
  1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa ya Mwombaji.
  6. Wasailiwa watakaoasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, Hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWAJATARUHUSIWA KUONDELEA NA USAILI.
  7. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za kitaalamu wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.
  13. Upande wa kada ya Madereva wanatakiwa kuja na vyeti kutoka NIT vilivyokupa sifa ya kupata daraja C na E

HAYA HAPA MAJINA YA WALIOITWA

CHECK ALSO:

  1. Hili Hapa Tangazo la Nafasi za Kazi LGAs June 2025 
  2. MDAs & LGAs Nafasi za Ajira Mpya 8894, Juni 2025
  3. Tangazo la Nafasi 2326 za Kazi Serikalini Tanzania Juni 2025 MDAs, LGAs na Wizara ya Ardhi
  4. Walioitwa Kujiunga na Shule ya Polisi Tanzania 2025 Ajira Jeshi la Polisi