Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26

Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26 | CAF yatangaza nchi 12 ambazo zimeshinda nafasi ya kuingia timu nne katika mashindano ya 2025/26 | Tanzania pamoja

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) kupitia TFF, limetangaza rasmi orodha ya nchi 12 zilizoshinda nafasi ya kuingia jumla ya timu nne katika mashindano ya kimataifa ya vilabu ya CAF 2025/2026: Ligi ya Mabingwa CAF na Kombe la Shirikisho la CAF.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mashindano hayo yataanza rasmi kwa hatua ya awali kati ya Septemba 19 na 21, 2025, na Septemba 26 na 28, 2025.

Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26

Nchi 12 Zilizopata Nafasi ya Kuingiza Timu 4 Katika CAF 2025/26(Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26):

Tanzania Miongoni mwa Nchi 12 Zitakazoingiza Timu 4 CAF 2025/26

  • Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

  • Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ

  • Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด

  • Ivory Coast (Cรดte d’Ivoire) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

  • Misri ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

  • Libya ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ

  • Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ

  • Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ

  • DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

  • Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

  • Sudan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ

  • Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ

Hii ni ishara ya kuimarika kwa viwango vya soka katika mataifa haya, ambapo kwa sasa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayofanya vizuri hasa kutokana na mafanikio ya klabu za Yanga SC, Simba SC, Namungo FC na timu nyingine zinazoshiriki mashindano ya CAF.

Kupata nafasi ya kusajili timu nne ni heshima kubwa na fursa ya kukuza mashindano ya ndani, kuongeza thamani ya ligi, na kuwapa wachezaji wa ndani nafasi ya kuonyesha vipaji vyao Afrika.

CHECK ALSO:

  1. Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Yasogezwa Mbele, Itachezwa 29/06/2025
  2. Je Kariakoo Derby Kuamua Bingwa NBC Ligi Kuu 2024/2025?
  3. Ratiba Mechi za Mwisho za Ligi Kuu NBC Jumapili Hii Juni 22, 2025
  4. RATIBA YA EPL Ligi Kuu England 2025/2026