TETESI za Usajili wa Yanga SC 2025/26 Dirisha Dogo | Wachezaji waliosajiliwa na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili 2025/2026.
Mpaka sasa baada ya dirisha dogo la usajili la msimu wa 2025/2026 kufunguliwa, yapo majina yanayotajwa kutua kwenye kikosi cha Yanga kuongeza nguvu na kuipambania nembo ya wananchi.
TETESI za Usajili wa Yanga SC 2025/26 Dirisha Dogo
Haya hapa baadhi ya majina yanayoitajika kutua kwenye kikosi cha Yanga kwenye dirisha dogo la usajili:-

01. Romarica Moussou
kiungo wa ushambuliaji fundi wa klab ya asec_mimosas_officiel raia wa Benon Romarica Moussou (24) kuhitajika klabu kubwa ya Tanzania Yanga SC.
02. Gelson Dalla
Kocha Pedro Goncalves amepania kufanya makubwa kwenye CAF Champions League. Ndiyo maana anataka kuleta balaa jipya ndani ya kikosi cha Yanga kutoka Angola 🇦🇴. Mchezaji mwenye uzoefu mkubwa na kiwango cha kimataifa.
03. Yona Amos
Klabu ya Yanga SC inakaribia kukamilisha usajili wa golikipa Yona Amos (26) kutoka Pamba Jiji FC ili kuchukua nafasi ya Komein Aboubakar.
Yanga SC inafikiria kumtoa kwa mkopo au kuachana na golikipa wao Komein Aboubakar ambaye amekuwa na kiwango kisicholidhisha klabuni hapo.
04. Laurindo Maria
Yanga wapo kwenye rada na laurindo Maria, ila upatikanaji wake ni mgumu inapaswa Yanga kusubili dilisha kubwa au wamwage hela. Kocha anamuitaji haswa, huku viongozi wanaangalia mfuko wao.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako