Timu Zilizofuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26, Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/26) inaendelea kushika kasi, huku vilabu vinavyoshiriki vikianza kutambulika rasmi kwa hatua ya makundi.
Timu Zilizofuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26
Hadi sasa, vilabu saba tayari vimejihakikishia nafasi katika hatua hiyo ya makundi, huku timu 10 nyingine zikisubiri kuungana nao baada ya michezo ya marudiano kukamilika mwishoni mwa wiki hii.
• Al Ahly 🇪🇬
• Power Dynamos 🇿🇲
• Al Hilal SC 🇸🇩
• St Eloi Lupopo 🇨🇩
• Yanga 🇹🇿
• Rivers United 🇳🇬
• Petro Luanda 🇦🇴
Droo ya Hatua ya Makundi
CAF imetangaza kuwa droo ya hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho itafanyika tarehe 3 Novemba 2025, jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Kufuzu kwa vilabu hivi kunathibitisha ushindani mkubwa wa soka barani Afrika, huku mataifa kama Tanzania, Zambia, Nigeria, na Angola yakiendelea kuonyesha ubora wa vilabu vyao. Mashabiki wanatarajia droo ya kuvutia itakayoweka vilabu hivi katika michuano mikali ya hatua ya makundi msimu wa 2025/26.
CHECK ALSO:







Weka maoni yako